Kakke
JF-Expert Member
- Dec 4, 2010
- 1,883
- 1,482
Ccm wasijidanganye kuwa wazanzibar watakua kimya na mambo kwenda salama (muruwa) kwa kuwawaa nchi yao ili ifanywe wilaya 2 ya Unguja/Pemba na mkuu wa mkoa 1.
Hii plan ni ya kipindi kirefu tunajua na Huyu Mwinyi ni matayarisho ya kukukamilisha agenda hio kwa maguvu ya Magufuli.
Sisi wazanzibar tu nasema hilo halitotokea rabda mutuue sote lakini hatuko tayari kuifukia nchi yetu kwa kutumia mikono ya vibaraka wahafisina wasaka Tonge.
Wananchi wa Zanzibar mara hii tumejipanga kwa lolote lile tuko tayari wala Sirro asifikirie wazanzibar ni watu lele mama .
Tutasimamia haki yetu kwa samani yoyote ile ,kama noma naiwe noma.
Kama muna zani kuwaekea pingamizi wabunge na kupitisha hoja yenu ya plan yakuizika zanzibar mutafuzu ?basi jaribu ni?