kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Kuna dalili kuwa hawa watu wanataka kuendelea kwa serikali 2 huku wakidhani mapendekezo ya serikali 3 si ya wananchi bali ni ya chama fulani wasichokipenda.Kwa hiyo kuunga kwao serikali 2 ni kama njia ya kuwakomoa watu wa chama kinachounga mkono serikali 3.Kama itakuwa hivyo,basi wakome kumwagia watu tindikali,kuchoma maduka na makanisa eti tu kwa vile kuna kero za muungano!Watulie kama watu wa bara walivyotulia kabla hawajawatibua kutokana na kelele za kero za muungano wakati watanzania wote wana kero nyingi tu za maisha
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums