kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
wazanzibar ni wanafiki sana. na mtaendelea kutawaliwa milele na milele. mbafu zenu
angalau wewe unataka uvunjike leo, wazanzibar walitaka uvunjike tokea huyo muasisi (mzekarume) yupo hai. faida kubwa mulioipata ni kuja kustaarabishwa na wapemba sema tu hamna shukurani.Muungano uvunjike tu tubaki na tanganyika yetu. Faida za muungano kwa bara hazipo.
Wazanzibar ni wanafiki na wasipendi na unafiki wao.. Vigeu geu sana hawa mdebwedo
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Ebu mleta uzi na yoyote mwenye mawazo kama ya huyu, na atutajie Mzanzibari mmoja tu anaetaka serekali mbili ukitoa UVCCM na baadh ya ccm wengine waliokuja zanzibar kwa mshindo wa beni la mbio za mwenge.
Kuna dalili kuwa hawa watu wanataka kuendelea kwa serikali 2 huku wakidhani mapendekezo ya serikali 3 si ya wananchi bali ni ya chama fulani wasichokipenda.Kwa hiyo kuunga kwao serikali 2 ni kama njia ya kuwakomoa watu wa chama kinachounga mkono serikali 3.Kama itakuwa hivyo,basi wakome kumwagia watu tindikali,kuchoma maduka na makanisa eti tu kwa vile kuna kero za muungano!Watulie kama watu wa bara walivyotulia kabla hawajawatibua kutokana na kelele za kero za muungano wakati watanzania wote wana kero nyingi tu za maisha
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
jamii forum pamekuwa paki senge sasa, badala tujadili ya maana , kazi kutukanana tu,mara wazanzibari mara watanganyika, huu ni ujinga , tujadiri mambo ya manufaa kwa Tanzania yetu nyama nyie...