masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Vitendo huthibitisha yale yamtokayo mtu mdomoni.
Ni dhahiri sasa wenzetu wazanzibari wanatekeleza kile walichomaanisha , msemo wa
Changu Changu Chako Chetu.
Maneno yaMakamu wa Rais Zanzibar na matangazo ya kazi kwa upendeleo wa wazanzibari tu, tumeyaona.
Shaka Hamdu, mzanzibari asiye na hata ndugu Bara ni mkuu wa wilaya huku Bara.
Changu Changu ,Chako Chetu.
PIA SOMA
- Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?