masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
kuna kigagula mmoja anaitwa Fatme Karume kashupaa hataki neno zanzibar/kizimkazi au mama malkia atajwe! Tugawane tu fito miye nimeona na kuchagua duka la mpemba nitarithi hapa kimanzichana!Halafu sasa hivi rais wa Tanzania ni kutoka kwao, yamekaa kimyaaa haya mabaguzi. Natamani yakiamshe tugawane fito.
Ndio wameamka ati!Tatizo sio Mzanzibar wala Zanzibar, Tatizo ni Watanganyika na Tanganyika yao.Wazanzibar walikataa uhuni wa kupoteza taifa lao na utambulisho wao,huku kwa Watanganyika wakapoteza kila kitu kwa sera ya "zidumu fikra za Mwenyekiti".
Imekolezwa na matamshi ya Makamu wa Rais ZanzibarG 55 inaonekana kuzaliwa tena