Wazanzibari wa kijliwe cha Jaws Corner wasoma dua kumuombea Sultan Qaboos wa Oman

Kumuombea mwenzio pia unapata thawabu, rehema atakazobarikiwa yeye na wewe utazipata pia, kwasababu Mungu sio mbinafsi kama mleta mada na mchangiaji wa kwanza, kwani nyie mkiwa na ndugu au marafiki zenu wagonjwa hamuwezi kuwaombea kwa Mungu? na wala sio ugonjwa tu, mara nyingi tunawaombea wapendwa wetu Mungu awakinge na majanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
je wa Omani huwa wanafanya dua publicly kuwaombea viongozi wa Zanzibar au ndio inferiority complex toka kwa hawa jamaa?
 
Zamu ya waafrica kutawala Africa yote sasa na bado tunakuja kutawala DUNIA kama zamani . Mtaomba sana lkn hamtasikilizwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…