Wazanzibari wahakikishiwa uwepo wa akiba ya kutosha ya chakula, Waziri Hamad aitaka BOT na WB kusaidia uchumi

Wazanzibari wahakikishiwa uwepo wa akiba ya kutosha ya chakula, Waziri Hamad aitaka BOT na WB kusaidia uchumi

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Waziri Amina wa SMZ amesema Zanzibar ina akiba ya kutosha ya chakula ukiwemo mchele na sukari na kwamba hata sasa kuna meli yenye tani 600 za mchele bandarini na ameelekeza mchele huo utolewe haraka.

Hivyo amewataka wananchi kutokuwa na hofu ya upungufu wa chakula katika kipindi hiki cha mapambano ya Corona.

Naye Waziri wa Afya Mh. Hamad Rashid amesema kwa sasa itailazimu Benki Kuu nchini na Benki ya Dunia kuingiza fedha kwenye uchumi wa Zanzibar ili kuunusuru kwani asilimia 70 ya uchumi huo inategemea Utalii ambao umesimama.

Source: ITV
 
Kwani wao hawana BOT yao? si ni Nchi kamili hiyo wajameni?
 
Back
Top Bottom