Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mzanzibar, nakubaliana na mleta Uzi huu, tumepewa ulevi huu bila ya kujielewa.
Lakini nawausia jamaa zangu hawa waliotumwa na wengi kutoka nyumbani,
Zanzibar kwanza pesa baadae, tuirudishe znz yenye heshima, Zanzibar itakayopata heshima dunia nzima.
Na nawaahidi wajumbe tuliowatuma huko kama mutairudisha znz kwenye mikono ya waznz nawaahidi tutawapatia nafasi za ubalozi.
Ninawaahidi mapokezi makubwa sana ya heshima hayahawahi kutokea.
Huo sasa ni uzumbukuku, nadhani huu waya umejaa uzushi. Wabunge wa Zenj ni watu makini sana kuliko hata wa huku kwetu bara.
Mkuu acha dharau kwa Watanganyika! Kama Wazanzibari ni watu makini kwa nini Rais wao Jumbe alinyang'anywa vyeo vyote na Mwalimu na hawakufanya lolote?
Mkuu acha dharau kwa Watanganyika! Kama Wazanzibari ni watu makini kwa nini Rais wao Jumbe alinyang'anywa vyeo vyote na Mwalimu na hawakufanya lolote?