Tanzania na zanzibar kumbe sio tanzania bara na visiwani oky sawa, ila kila matokeo ya darasa la saba na form 4 shule nyingi za visiwani hua zinashika mkia.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyinyi Watanganyika sisi WazanzibayTanzania na zanzibar kumbe sio tanzania bara na visiwani oky sawa, ila kila matokeo ya darasa la saba na form 4 shule nyingi za visiwani hua zinashika mkia.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania na zanzibar kumbe sio tanzania bara na visiwani oky sawa, ila kila matokeo ya darasa la saba na form 4 shule nyingi za visiwani hua zinashika mkia.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Bandari tu ya Unguja inatosha kuwalisha raia wote pasi kufanya kazi, so linganisha na Tanganyika ndipo ugolo wako upate hitihali ya ustawi.Licha ya kushika mkia, lakini kwanini kipato cha watu mmoja mmoja ukilinganisha Wazanzibari kipato cha kipo juu?
Samahani sana, nimeshindwa kukufahamu hapa, wewe ndie ulietuletea hizi takwimu hapa, wengi wetu ndio kwanza tunazisoma hapa, sasa unatuuliza sisi uhalisia wa data hizi badala ya sisi kukuuliza wewe? Kwa nini hukuuliza huko ulikozipata au aliekupa?Kuna kipimo cha kupima maendeleo ya binadamu, kinaitwa HDI (human development index).
Hiki hupima elimu, umri wa kuishi na kipato cha mtu. Kinapima kuanzia 0 hadi 1.
Tanzania yote kipimo hiki kinasoma 0.529. hii ni chini na ni alama ya umaskini na kutoendelea. Zanzibar kinasoma 0.72 na ni kiwango cha juu kikiashiria maendeleo na utajiri.
Uhalisia wa hiki uko vipi?
Darasa la saba ?????Tanzania na zanzibar kumbe sio tanzania bara na visiwani oky sawa, ila kila matokeo ya darasa la saba na form 4 shule nyingi za visiwani hua zinashika mkia.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikulu ya muungano(Dar na dodoma),ikulu ya Zanzibar,ofisi za bunge na huko baraza la wawakilishi,wizara zote.....ofisi nyingi za serikali wamejaa wazanzibari....biashara nyingi ni wao wanaendesha... Hawajui kulipa umeme,hawalipi kodi,....
Ukiwa mZanzibar ukisoma tu lazima upate ajira hata kama una div 4 tupu ma gentleman degree ama diploma ya chuo. Ajira lazima upate
Nimeangalia taarifa ya habar Itv
Viongozi wa wizara ya maji toka smz wana claim watu huko zenji hawalipi bill za maji wakipelekewa bill wana toa aya toka ktk kurhan [emoji3][emoji3][emoji3]
Nimeangalia taarifa ya habar Itv
Viongozi wa wizara ya maji toka smz wana claim watu huko zenji hawalipi bill za maji wakipelekewa bill wana toa aya toka ktk kurhan πππ
Kama ni hivyo basi tulipaswa tuwazidi marekani na ChinaRatio ya idadi ya watu.