Wazanzibari wana maisha mazuri kuliko watu wa bara

K
kama siyo ccm, hdi ya zanzibar ingekuwa 0.99 au 1.0.
 
Kumbe
 
Kwanini inaitwa Tanzania bara, na isiitwe "Tanzania" nnavyojua neno "bara" linatumika kama bara la Asia, Amerika, afrika n.k.


πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ”₯πŸ”₯
 
Ni kweli kabisa kwasababu wanatunyonya watu wa Tanzania bara .
 
Kuna watu naona wanajiongelesha eti Zenj ukiwa na degree tu lazma upate ajira

Nimemaliza chuo tangu 2016 mpaka leo cjapata ajira ila wazenj wengi tunaishi na msemo wa "RIZIKI POPOTE" so sio rahisi mtu kubweteka eti asubir ajira ni kujichanganya tu ndo kunatuokoa
 
Wee huku Pemba watu wanashindwa boflo !
Nafahamu sana sheikh, hapo menu kuu ni boflo, supu, chips kwa mishikaki ya kuku zoba, ubwabwa maharage na labda jioni uende darajani ukale ugali samaki/nyama kwa wamama wa tabora hapo.
 
Kwa hiyo koloni letu linafanya vizuri kuliko sisi watawala?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…