Wazazi Kupeleka watoto wao shule za Ems ni suala la kujua umuhimu wa elimu (education counciousness) au ni suala la uchumi (economic factor)?

One good thing about GCSE is that it's your ticket into the echelons of High Society. The connections you make at international schools, will surely transform the life of a child forever.

I hate that fees are over-hyped.​
Kuna scholarships kibao.

Kuna kijana wa mzumbe yupo IST high school saivi, kwa scholarship

Kuna jamaa wa ilboru alinipa story kwamba alifuatwa na int. school flani aombe scholarship
 
Mkuu, upande upi una upendeleo ? Je EM au Kayumba au wote wana nafasi sawa?
 
Ni sisi tumeshindwa kuitafsiri elimu kwa vitendo.
Kutaja sehemu za panzi kunaweza kuwa na manufaa makubwa sana ktk sekta ya ubunifu. Jinsi panzi anavyoruka ni maajabu makubwa tulio yazoea..
Ukichukulia mfano urukaji wa inzi unaweza unganisha na bunufu kama helicopter na zile ndege za kijeshi zonavyofanya maneuver.
Ukija kwa vigawe tasa ni msingi mkuu wa hesabu za juu mfano RADICALS,CS .
Wadudu ni muhimu sana ktk teknolojia ya aviation hasa DRONES.
Shida iliopo tanzania ni KUMFUNDISHA KILA MTU KILA KITU, how come!
Hesabu zinawahitaji critical thinker, High problem solver, high memorization, fast learner nk.
Ukija bailojia inahitaji watu wenye uwezo mkubwa wa kukariri mambo kwa mda mfupi, Siasa inahitaj8 wacheshi, sasa mtu wa kipaji cha kuchora unamkaririsha panzi unakuwa unamdhulumu.
Inatakiwa kila mmoja awekwe eneo analomudu. ELIMU ITAKUWA RAHISI SANA NA TUTAPATA MATOKEO MAZURI NA WABUNIFU WA KUTOSHA.
Mtaala mpya bado hauja solve hili tatizo, kwa hio tutaendelea kulaumu na kumtafuta mchawi japo umetatua baadhi ya mambo ila kuna deni. Hata hivyo tumshukuru waziri amesikilza maoni ya WATANZANIA japo aendeleee kupokea mawazo kupitia vyanzo mbali mbali tupate kitu cha 21stC.
 
Mkuu sio waxazi kua bahili kwangu ni kukosa muamuko wa elimu na kufuata mkumbo kwasababu mzazi huyu huyu anapoteza pesa nyingi kwa vitu vingine visio na umuhimu wowote
Hivi elimu wanayofundisha shulen unaijua? Ni full upambavu hakuna kitu yan kuanzia msing sekondar had vyuo elimu ni hiz za shule ni kama michezo tu ya 3 mzuka, biko na mshua wajinga ndo huwa kwenye hiv vitu
 
Umeongea kitu sana mkuu nataman hata kwenye vitendo uwe ivo usiwe kama elim yetu tu na wewe kama inavyofundisha mavitu makubwa kama taarifa za vituo vya habari ambazo hazina action
 
Vijana wako wanatengeneza pesa?
 
Vijana wako wanatengeneza pesa
 
Mkuu sio waxazi kua bahili kwangu ni kukosa muamuko wa elimu na kufuata mkumbo kwasababu mzazi huyu huyu anapoteza pesa nyingi kwa vitu vingine visio na umuhimu wowote
Lakini kwa sehemu kubwa unachangiwa na ubahili pia. Miaka hii kuna private primary school nzuri sana ada ya kawaida tu ya milioni moja unusu au milioni lakini kuna jamaa lina kipato ila linaishia kuhonga tu...tezi dume ikikazana miaka ya usoni baba hela hana mtoto hela hana wote wakata ufuta ndo utajua
Vijana wako wanatengeneza pesa
Yes wote wawili wana share kwenye kampuni zangu
 
Ongezea tamati ni kupata pesa na kuendesha maisha bila kujali umefika chuo gani mkuu!!
Tuliozaliwa kwenye familia zenye watoto 5+ na kukulia maisha ya kawaida ndo tunayaelewa haya mkuu.

Wazee wetu hawakutumia nguvu kubwa kwenye kufanikiwa kwetu, walichofanya ni kutuguide tu tuiendee njia iliyo sahihi na salama, kisha mengine nature ikaachwa iamue hatima yetu.

Ndani ya watoto hao 5+, mnajikuta mzazi katoa mwalimu, daktari, nesi, engineer, mwanajeshi, mfanyabiashara nk bila kutumia nguvu kuubwaa.

Njoo sasa kwa hawa wazazi walozaa kuanzia miaka ya 90 hasa wa mjini, kila mzazi anafosi mwanae afike chuo kikuu.

Mwisho wa siku wamejikuta wamezalisha ma jobless yaliyo na degree, yapo tu nyumbani yanaendelea kuwa mizigo kwao..
 
Kama kweli unakampun alafu saizi wanajua kiswahili,hesab, kingereza kuongea,kusoma na kuandika waachishe shule waweke watengeneze tu pesa au wasomeshe kitu chenye manufaa ya maisha yao hapa nalenga kwenye ujuzi wowote kuliko kufuata huu mlolongo wa msingi sekondari hadi chuo huu ni upotevu wa muda
 
Umeongea kitu sana mkuu nataman hata kwenye vitendo uwe ivo usiwe kama elim yetu tu na wewe kama inavyofundisha mavitu makubwa kama taarifa za vituo vya habari ambazo hazina action
Nataman sana ila kutekeleza ni ngumu wenye mtaala wapo wizarani hawanaga mda.
Nafikiria kuanzisha open school kwa kuzingatia mahitaji ya mtoto japo watoto wengi ni mateka wa mfumo kuwata uwafundishe ni ngumu sana wanashinda shule. Nimeanza na my kid na ntapanua huduma siku za mbele , na changamoto nyi gingine ni mtaji/resource team ya kufanya nayo.
Mda mwingine kukumbana na upinzani hata kwa watu wanaokuzunguka. Mfano dec niliamua kuanza kumfundisha kid wangu HTML nilikumbana na upinzani kutoka kwa mlezi wa nyumbani. Ana amini elimu ya shule na mtaala wa serikali. Its a big challenge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…