Mungu niguse
JF-Expert Member
- Dec 19, 2024
- 272
- 729
Hata Kama Baba hatoi matumizi yoyote Ila usijaribu kumlisha mtoto wako sumu kuhusu ubaya wa Baba yake.
Watoto wote waliokataliwa na Baba zao ni 2% ndo utawakuta wamefanikiwa maisha.
Hakikisha mtoto wako anamjua baba yake mzazi ili akambariki usithubutu kumtenganisha mtoto na baba yake mzazi.
Asante.