Mungu niguse
JF-Expert Member
- Dec 19, 2024
- 272
- 729
Hakika mkuuWengi hawajui Mtumishi
Upate nafasi ya kukaa siti za mbele peponi!Hata Kama Baba hatoi matumizi yoyote Ila usijaribu kumlisha mtoto wako sumu kuhusu ubaya wa Baba yake .
Watoto wote waliokataliwa na Baba zao ni 2% ndo utawakuta wamefanikiwa maisha .
Hakikisha mtoto wako anamjua baba yake mzazi ili akambariki usithubutu kumtenganisha mtoto na baba yake mzazi.
Asante.
Amina Sana 🙏🏽i receiveUpate nafasi ya kukaa siti za mbele peponi!
hivi unajua unacho kiongea samahani lakini peponi ni neno lililo tokana na upepo inamaana unamwambia jamaa hapa akakae kwenye upepo ? kukaa kwenye upepo ni kitu ambacho hakiwezekanikiUpate nafasi ya kukaa siti za mbele peponi!
Ulilala na konyagi? Amka unywe maji mengi kisha ukojoe halafu u tune TBC Taifa usikilize nukuu ya baba wa Taifa saa 11-11:14 kisha ulale tenahivi unajua unacho kiongea samahani lakini peponi ni neno lililo tokana na upepo inamaana unamwambia jamaa hapa akakae kwenye upepo ?
Wako sahihi kama li baba lenyewe la hovyo hovyo!Hata Kama Baba hatoi matumizi yoyote Ila usijaribu kumlisha mtoto wako sumu kuhusu ubaya wa Baba yake .
Watoto wote waliokataliwa na Baba zao ni 2% ndo utawakuta wamefanikiwa maisha .
Hakikisha mtoto wako anamjua baba yake mzazi ili akambariki usithubutu kumtenganisha mtoto na baba yake mzazi.
Asante.
hivi unajua unacho kiongea ?Ulilala na konyagi? Amka unywe maji mengi kisha ukojoe halafu u tune TBC Taifa usikilize nukuu ya baba wa Taifa saa 11-11:14 kisha ulale tena
Watu wangapi ni hard worker?hakuna baba ambaye hamuhudumii mtoto wake, huyo ni mpumbavu na hufai kuwa baba hata wa panya...
duniani hakuna LAANA wala BARAKA,...hizi imani ni za WAPUMBAVU....
acha kukimbia majukumu yako eti kisa wewe ndo mtoa BARAKA za mafanikio,,.....huo UPUUZI ulitungwa na vizee vipumbavu ili kupata kukubalika kwa ushenzi wao wa kuzaa zaa na kuto kulea watoto wao kwenye jamii......
MAFANIKIO HAYAJI KWA IMANI,....yanakujavlwa VITENDO,....
HaijalishiWako sahihi kama li baba lenyewe la hovyo hovyo!
Watu wangapi ni hard worker?