Among watu walioongea vitu vya maaana na msingi ni pa1 na wewe mkuu
unajua hapa jamvini si kwamba watu hawafahamu reality ya hii ishu,wanafahamu sana sana ila tu,wanaamua kuleta ushabiki wa kipuuzi na kuendekeza mapenzi ya kizungu wakati sisi ni waafrika na tuna mila na desturi zetu tunazopaswa kuzifuata na kuheshimu,
hata ktk amri 10 za mungu,kuna amri inatutaka kuwaheshimu wazazi
nilikuwa nimesahau hili mkuulakini umesahau kuuliza umri wake.......wewe nani kakwambia mwaka wa pili ni mabinti wadogo??
mwache bana! Hata mimi wachaga kwa ndoa hapana! Labda kustarehe.huo ndio ukweli.
Tuachieni mabinti wetu wa kichaga tuwaoe wenyewe mnajipendekeza ili iweje na mkija huku kishambashamba unadeadishwa tu.