#COVID19 Wazazi Tuwaelimishe Watoto kuhusu Chanjo ya COVID 19, Jibu nililopewa na Kijana Wangu linafikirisha sana

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
9,753
Reaction score
10,747
Wiki iliyopita nilipata fursa ya kukaa na wanangu mkubwa wa kike 11yrs anayemfuata ni wa kiume 6yrs.

Nilitumia fursa hiyo kutaka kujua maoni yao juu ya chanjo dhidi ya Covid19.

Niliwauliza je chanjo ikifika kwetu watachanja?

Huyu wa kiume jibu alilonipa limeniacha hoi alisema "Dad mimi sitachanjwa kwasababu nilishachanjwa nikiwa mdogo" nikamuliza ulichanja sehemu gani akaniambia "huku" akimaanisha kwenye uume wake dah nilicheka sana kwa kweli, nikaendelea kumdadisi walikuchanjaje akasema "walinikata huku"

Ilibidi nitumie nguvu ya ziaada kutoa ufafanuzi nini maana ya kuchanjwa na kutahuriwa!

Tawapeni Elimi sahihi vijana wetu, inaonekana huko shuleni wanapeana elimu wenyewe kwa wenyewe.
 
Na "huku" we ulichnjwa lini?
 
Nimeona dad na mtoto kutahiriwa.

Maisha haya,mzazi anaachwa hoi kwa jibu la mtoto kuonyesha ushujaa wa kuona tohara laivu
 
Huku kwetu Mzazi ukimuita DAd anaona umetokana😂😂
 
Wiki iliyopita nilipata fursa ya kukaa na wanangu mkubwa wa kike 11yrs anayemfuata ni wa kiume 6yrs.

Nilitumia fursa hiyo kutaka kujua maoni yao juu ya chanjo dhidi ya Covid19.

Niliwauliza je chanjo ikifika kwetu watachanja?

Huyu wa kiume jibu alilonipa limeniacha hoi alisema "Dad mimi sitachanjwa kwasababu nilishachanjwa nikiwa mdogo" nikamuliza ulichanja sehemu gani akaniambia "huku" akimaanisha kwenye uume wake dah nilicheka sana kwa kweli, nikaendelea kumdadisi walikuchanjaje akasema "walinikata huku"

Ilibidi nitumie nguvu ya ziaada kutoa ufafanuzi nini maana ya kuchanjwa na kutahuriwa!

Tawapeni Elimi sahihi vijana wetu, inaonekana huko shuleni wanapeana elimu wenyewe kwa wenyewe.
Yaani unataka Wizara ije imuelimishe mtoto wako. Nilitegemea ujilaumu sana kwa nini siku zote hizo hujamuelimisha mtoto wako.
 
Back
Top Bottom