Kama itabainika lulu yuko under 18 baaasi!
Baada ya kufuatilia masuala ya sheria ya haki za mtoto na wajibu wa wazazi nimeebaini kwamba wazazi wa lulu watakuwa na shitaka la kujibu...mimi kama mtanzania mwenye uchungu na nchi yangu nitatumia fursa hii kuwaadabisha watanzania wachache walioshindwa kutimiza wajibu wao kisheria na kupoteza nguvu kazi ya taifa. Nasubiri ripoti ya mahakama tu.
Wajiandae kwenda segerea ...hakika naomba watanzania mniunge mkono.........
Wazazi tunaawaachia watoto wetu hovyo... Wanaombaomba, wanajiuza, wanajirusha na wakubwa club, wanakunywa pombe yaani ni kila aina ya uchafu.... Sasa sample imepatikana.
Watanzania kaeni mkao wa kula!!!
Kile kitoto kiko segerea wakati wazazi wanatanua tu...je malezi yao yako wapi? Wizara iko wapi? Nani anawajibu wa kutukumbusha wajibu wetu kama wazazi.... Je nani atuchukulie hatua za kisheria? Mtajua