Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Mwalimu: Ndugu mzazi nakuomba uje shule, mwanao anatupa wakati mgumu
Mzazi: Ndugu mwalimu, hata huku anatupa wakati mgumu kuliko ambavyo unafikiria lakini hatujawahi kukuita
Bongo Nyoso..!!!!
Mzazi: Ndugu mwalimu, hata huku anatupa wakati mgumu kuliko ambavyo unafikiria lakini hatujawahi kukuita
Bongo Nyoso..!!!!