MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,252
- 8,003
Akiongea na vyombo vya habari mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi wa wanafunzi wanaosona ktk chuo kikuu kishiriki cha kimataifa cha Kampala bwana Jumma Mwaipopo amesema; Wamachoka kuzungushiwa watoto wao bila ya kujua hata hatimaye ya masomo yao, amedai kwamba waziri wa Elimu alishatamka kua yeye hawezi kushughulikia matatizo ya chuo hicho.Kufuatia majibu hayo bwana Mwaipopo amesema kwamba wanafikiria kuishitaki serikali mahakamani ili haki itendeke watoto wao wajue hatima yao kimasomo.
Kwa hiyo sasa wao pia kama wazazi wameunda kamati maalum kwenda kumwona Mh Rais Kikwete ili awasaidie kwa kua wateule wake hawataki kuwasililiza.
Kwa hiyo sasa wao pia kama wazazi wameunda kamati maalum kwenda kumwona Mh Rais Kikwete ili awasaidie kwa kua wateule wake hawataki kuwasililiza.