herbsman Member Joined Apr 29, 2011 Posts 81 Reaction score 57 Jan 7, 2012 #1 jamani wazazi wana baraka katika maisha yetu sasa linapokuja suala la kukuambia hawataki uoe mtu uliyekaa naye miaka zaidi ya sita unatakiw ufanyaje?
jamani wazazi wana baraka katika maisha yetu sasa linapokuja suala la kukuambia hawataki uoe mtu uliyekaa naye miaka zaidi ya sita unatakiw ufanyaje?
Heart JF-Expert Member Joined Nov 29, 2011 Posts 2,673 Reaction score 1,710 Jan 7, 2012 #2 Mmmh....huo mtihani sasa...kwasababu zipi labda?
G Gabriela Member Joined Dec 26, 2011 Posts 57 Reaction score 15 Jan 7, 2012 #3 2pe sababu 2kupe madin!
Tz-guy JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 436 Reaction score 88 Jan 7, 2012 #4 Hao wazazi hawawezi kumkataa hivihivi, mwaga hayo ma-reasons.