wazazi wako wanapo mkataa mwanaume/mwanamke unayetaka kuoa nini yatakiwa ufanye? 6 years of relation

herbsman

Member
Joined
Apr 29, 2011
Posts
81
Reaction score
57
jamani wazazi wana baraka katika maisha yetu sasa linapokuja suala la kukuambia hawataki uoe mtu uliyekaa naye miaka zaidi ya sita unatakiw ufanyaje?
 
Mmmh....huo mtihani sasa...kwasababu zipi labda?
 
Hao wazazi hawawezi kumkataa hivihivi, mwaga hayo ma-reasons.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…