sky soldier JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 5,406 Reaction score 19,375 Nov 2, 2023 #1 Familia nyingi huwa zina tamaduni zake katika mambo mbali mbali ikiwemo matumizi ya lugha za kikabila (hasa alikotokea baba) Kwenu kwenye kusalimia wazazi / walezi ni lugha ipi ilitumika ? Mzee ni wa kanda ya ziwa, Binafsi sijawahi kumsalimu mzazi kwa salamu ya "Shikamoo" ni mwendo wa kilugha tangu najua kuongea
Familia nyingi huwa zina tamaduni zake katika mambo mbali mbali ikiwemo matumizi ya lugha za kikabila (hasa alikotokea baba) Kwenu kwenye kusalimia wazazi / walezi ni lugha ipi ilitumika ? Mzee ni wa kanda ya ziwa, Binafsi sijawahi kumsalimu mzazi kwa salamu ya "Shikamoo" ni mwendo wa kilugha tangu najua kuongea
Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 17,613 Reaction score 56,787 Nov 2, 2023 #2 Kwa sehemu kubwa tunatumia kiswahili japo Kuna mda unaongeleshwa tu ukidaka maneno matatu bas ushaelewa
Kwa sehemu kubwa tunatumia kiswahili japo Kuna mda unaongeleshwa tu ukidaka maneno matatu bas ushaelewa
sky soldier JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 5,406 Reaction score 19,375 Nov 2, 2023 Thread starter #3 Mpaji Mungu said: Kwa sehemu kubwa tunatumia kiswahili japo Kuna mda unaongeleshwa tu ukidaka maneno matatu bas ushaelewa Click to expand... kwenu wapi
Mpaji Mungu said: Kwa sehemu kubwa tunatumia kiswahili japo Kuna mda unaongeleshwa tu ukidaka maneno matatu bas ushaelewa Click to expand... kwenu wapi
Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 17,613 Reaction score 56,787 Nov 2, 2023 #4 sky soldier said: kwenu wapi Click to expand... Kanda ya kaskazini
MawardatDellapina JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 30,232 Reaction score 152,252 Nov 2, 2023 #5 Kiarabu.
S Statistics JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 3,762 Reaction score 8,016 Nov 2, 2023 #6 Mwendo wa kilugha tu. But wangu wananisalimia Kwa lugha ya beberu