kitali
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,204
- 8,315
Kuna jamaa yangu mmoja alioa siku nyingi kama miaka mitano sasa muda wa miaka 3 mitatu hawakujaliwa kuwa na mtoto. Ule mwaka wa nne wamefanikiwa mtoto. Sasa shida imekuja huyu mume kumbe kabla hajaoa aliwahi kuumwa magonjwa ya zinaa, yaani kukojoa uchafu na kiuno kuumwa, mara mgongo, mara kifua.
Sasa mtoto aliezaliwa nae ana ana tatizo kama hilo, wote mama na baba wana tatizo hilo. Wamewahi kupima HIV wote walikuwa salama. Ila vpimo vingine vinaonyesha wana infection kwenye damu.
Hebu wajuzi tuwasaidie jamani maana yote niliyomshauri hajapata matokeo mazuri. Hospitalini wanamwambia ni infection ndogo tu lakini jamaa anaumwa sana.