Sio mara zote wanakua sahihi ipo pia mifano ya watu waliooana huku wazaz wa pande moja hawataki na wanaishi kwa furaha na amani.smtimes kuna wazaz hawana sababu za msingi kuna rafiki yangu alikataliwa kuoa na wazaz wake sababu msichana ni mchaga je wewe ungekubaliana nao?kuna dada alikataliwa kuolewa kwa sababu ni muislam wazaz wa mwanaume hawamtaki!!mababu zetu walikua wanakataa mchumba wa mtoto wao kwa sababu za kibaiolojia za ukoo wa mchumba kwa mfano kuna historia ya albino,uchizi,kifafa,wizi na vitu vingine vinavyorithishwa genetically.