Wazazi wanaweza kuwa toxic pia. Toka hapo ulipo unaweza kuwapenda ukiwa mbali!

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Watu wapo karibu na wazazi/mzazi wake lakini yeye ni kumtakia mabaya kila leo. Mzazi anafurahi kuona mtoto wake anaharibiwa, ukifanikiwa inakuwa kama mwiba kwake, hapakufai hapo kaa mbali.

Kuna wazazi wanawatafuta watoto wao wakiwa na matatizo tu, na mtoto akishindwa kutatua changamoto yake ni msala, atapewa laana zote za dunia.

Wengine wazazi wenu hata umfanyie nini atatafuta pa kukuchambia tu. Utamtumia laki ya matumizi atakwambia mtoto wa fulani kila wiki anawatumia wazazi wake milioni, we kila siku hata haionengezeki, huna maana! Hapo mtoto kajibana kweli na kujipiga kwenye kile alichonacho.

Kila ukifanya jambo unamshirikisha mzazi huku ukijua fika anakutakia mabaya, ukiwa na moyo atabadilika na kukupenda siku moja kwa kuwa ni mzazi wako, unaendelea kuharibikwa.

Unabaki kukaa hapohapo unaogopa kusogea sababu utapata laaana! Toka hapo hapakufai.

Wenye roho mbaya sio marafiki tu na ndugu, hata wazazi ni binadamu nao. Unakutana na mzazi ana roho mbaya mpaka unashangaa imekuaje huyu mtu amekuwa mzazi!

Unaweza kuwasaidia na kuwapenda ukiwa mbali, ukiwa na amani ya moyo. Kuna mahusiano hata ufosi vipi hayawezi kubadilika, usifosi, utaishia kuumia na kujiuliza maswali ambayo unaweza usipate majibu kamwe.

Ponya moyo wako na jifunze kufanya mambo yako bila utegemezi wao. Saidia pale unapoweza, na hata kuwakumbuka pia, lakini usiendekeze kubaki kwenye mazingira toxic na kuhatarisha your wellbeing.

Happy Womens Day kwa ladies wote JF... mabaharia wa JF mkawatoe hao wadada huko hata lunch Wakuu, sio wishes zinaenda kavu kavu tu😂😂🌚
 
Umeongea jambo moj tentative, tangible and so relevant to my life. Kuna wazazi wamebeba maono hasi sana. Mm nilisumbuana sana na mawazo ya mzee kila nikiyapitisha kwemye jiko la ufikiri wangu yanatoka mkaa, meusi tiii. Nikajiengua mapema kabisa, ofkooz mambo yanakwenda na kusaidia maisha ya home now sio kwq shuruti nikiwa nacho kwa hiari napush
 
Back
Top Bottom