Wazazi wengine wanashangaza

Kwa kweli wazazi nao are playing important role kwenye maisha yetu. Labda kabla huyo dada hajafikia kufanya uamuzi wowote ajaribu kukaa chini aongee na wazazi wake. Awaeleze kwa nini amekubali kurudiana na mwenzi wake na kumsamehe. Kuna siri kubwa wazazi ambayo si ajabu wanaijua, lakini kama kawaida ya mila zetu za Kitz sio rahisi kuzisema. Na wakati anaongea na wazazi wake asiwashirikishe watu wengine ajaribu kupata privacy ya wao watatu.

Naomba kuuliza swali la kizushi, walienda kupima mara ngapi? Isiwe na ile mara moja wakaonekana wote safi wakaanzia hapo. Ikumbukwe kupima kunatakiwa mara tatu ili mtu kuwa na uhakika zaidi. Haya mambo ya relationships ni magumu kwa kweli. Na je, akirudi ndani ya nyumba na ikatokea the same scene ndo atakuwa akifanya mchezo wa kuja na kuondoka? Hilo pia anatakiwa kuliweka kwenye consideration, manake kuomba msamaha na kurudiana sio mwisho wa matatizo. Ndo mwanzo wa majaribu mengi ambayo anatakiwa kujua jinsi ya kukabiliana nayo.
 
wazazi kama umeolewa awana amri juu ya binti kibibilia na kiserikali inatambulika kiserikali ndoa ni muunganiko wa watu wawili kwa hiari yao wameaambua kuishi pamoja bibilia imeenda mbali zaidi kusema mtu atamwacha babae na ***** nae ataambatana na mumewe hao wawili watakuwa mwili mmoja so wazazi awana amri ya kukukataza usirudiane na mumeo wa ndoa kama mmeshapatana. hilo ni kosa kubwa
 
Walienda mara moja.
 

Toa namba hiyo au unamwonea wivu? kwa sababu mwanaume kaonyesha sio mvumilivu bado mapema ,na akikaa muda au akijifungua mtoto itakuwaje? wazazi wako right wanajali sana watoto wao, mimi ni mzazi na ningemwambia mwanangu aweke ****** chini asubiri mungu atamfungulia , GONJWA JAMANI LIPO LINATISHA, NAWAPENDA WATOTO WANAORUDI KWA WAZAZI KUOMBA USHAURI, KWANI WAMEPITA HUKO UNAKOKANYAGA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…