Wazazi wenzangu, ili kesho tusije kuwalaani watoto wetu na kuwapa lawama, tujitahidi kuwekeza kwao leo

Wazazi wenzangu, ili kesho tusije kuwalaani watoto wetu na kuwapa lawama, tujitahidi kuwekeza kwao leo

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
5,715
Reaction score
13,739
Kuna baadhi ya wazazi wamekuwa Na nongwa sana hasa pale umri unapoanza kuwatupa mkono. Mzazi, hasa hawa wa kike, anakuwa ni mtu wa malalamiko, usipoangalia vizuri na kulaaniwa utalaaniwa.

Kumbuka ewe mzazi mwenzangu huyo mtoto unaemtupia lawama za kufeli kwao maisha nae anayapigania maisha yake awe na miradi mizuri, awe na familia bora, awe na malazi pamoja na makazi Bora.

Tuwekeze leo kwao ili kesho kuwalaani na kuwapa lawama kama zote kwamba hawataki kutusaidia.
 
Back
Top Bottom