VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,365
VoR we ni mtetezi mzuri sana ila kuna watu na watu!Mpaka mtu aliyekukosea wewe akakushtaki wewe usitegemee uelewa na uungwana kutoka kwake!Hapo mkirudi nyumbani ataishia kukupiga madongo!'Unajifanya kulalamika hapa tumefika kule huna cha kusema' hayo ndo yatakua maneno yake!Ustaarabu haufunzwi ukubwani!
Yeah well..hayo muhimu mara nyingi hutapata ukweli wake mpaka ujifunge kitanzi!Ndio maana huwa ninasema kwenye kutafuta mwenza.., kuna mambo muhimu sana ya kuangalia, na kamwe hautafanikiwa kama mwenza wako hana busara. I always say this am always looking for inner beauty everything else i will get used to, or learn to love...
Yeah well..hayo muhimu mara nyingi hutapata ukweli wake mpaka ujifunge kitanzi!
Wazazi wengi hupenda kuona watoto wao wanaishi maisha wanayowataka wao wazazi na wawe na tabia kama zao (za wazazi wao).
Binafsi ningependa mwanangu awe na tabia kama zangu ndio ila ubaya ni pale nitakapomlazimisha aishi mfumo wa maisha asiopendezwa nao.
Hapo ndio mgogoro hutokea.
Wazazi hawapaswi kuwalazimisha watoto zao.
VoR That is kinda selfish!Kwanini isiwe wewe ndo umpende sana alafu yeye ndo ajifunze kukupenda wewe?Au kwani usitafute mtu utakayempenda na yeye akupende kama unavyompenda?Personally I wouldn't be thrilled about being madly inlove with someone who has to learn to love me!!Or me learning to love him!It just seems unfair to me!
VoR...Mhuu!Kwahiyo wewe unapata ugumu kuamini kwamba unaweza kumpenda mtu alafu yeye ajifunze kukupenda wewe?Yeye nini kitakachompa guarantee kwamba utampenda??Au ndo unamdanganya nakupenda wakati unajifunza?Still unfair!Naweza kujifunza kumpenda mtu ila sitaki kujifunza wala sitaki yeye ajifunze!
there was a girl long time ambae watu walikuwa wanasema she looks like a man, kwahiyo people wakawa na majungu na wanamcheka, now mimi at first sikupenda kile kitu na nikamuonea huruma, sababu alikuwa mpweke nikajenga urafiki nae nikawa nae close..., you know what happened.., she turned out to be the most kind, bright and charming lady.. therefore kama ningetaka am sure I could have turned zile attachement nyingine zote kuwa love..., sababu I turned to really liked her company.
VoR bado sisapoti swala la kujifunza kumpenda mtu!Na kwasababu hata wewe unaamini tu unaweza ila bado haijatokea lets just leave a blank space there alafu tutajaza siku yakikutokea au yakinitokea!
Tumechakachua wote kwahiyo na mimi inabidi nijiombe msamaha!Lolz!Yeah lets hope for the best!!lets hope for the marriage made in heaven... πray:πray:πray:
But when that fails atleast I will know I will be making someone happy by her finding her perfect match.., someone she has been dreaming for... and with that will come a bonus of her smile brightining the whole house
By the ways Sorry tunachakachukua thread yako.... Hii ni post ya Wazazi ...
Yes nakumbuka pia movie ni nzuri sana and it was so funny.., lakini hata watu wanasema Mungu hakunyimi vyote hata hao ambao huwa sio ma-models they have something to offerVoR ananikumbusha movie ya Shallow Al...