Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
- Thread starter
-
- #21
Wewe hukuwa na mapenz ya dhat kwa huyo binti.mseng.e sana Yule binti,tulikua na ndogo za kuoana akapata kazi mkoa mwingine kaenda huko wahuni wamemzalisha leo ananililia nimuoe... sifanyi upuuzi mie
Wako bado mpo wote ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata sijawahi kuwa nayeWako bado mpo wote ?
Tumetimiza miaka miwili (2) ya ndoa, tumepata mtoto, Mke wangu tulifahamiana JamiiForums - JamiiForumsNatumaini wote mu wa wazima wa afya. Kwa wale wenye matatizo ya hapa na pale ninawaombea wapate nafuu.
Swali langu ni hili, hivi yule mpenz wako mliekuwa mnaongea nae usiku kucha mpaka simu inakuwa ya moto kama pasi ya PHILIPS ndoa yenu imefikia wapii..Nimeuliza tuu jamanii sijamtaja mtu
My unanikana kabisa[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Hata sijawahi kuwa naye
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi ni wale wa kizazi cha kuandikiana barua,ila ngoja nimuite aje kujibu swali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kichwa Kichafu
Nalipiza kisasi kama ulivyonikana[emoji124][emoji124][emoji124]My unanikana kabisa[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Kwa hio kachukulia na njemba mwimgineNilikutana naye Serena Hotel mi mlinzi yeye anasukuma Spacio.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cc Kichwa Kichafu.
Ila tuombe Mungu jje's asije kuona ushuhuda ukitolewa[emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23]My unanikana kabisa[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Kiukweli sijui nilivyomfungulia geti tukawa na weird convo ila haikuhusisha stori za wapenziKwa hio kachukulia na njemba mwimgine
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alivyomuoga yule akija hapa ataishia kucheka tu lol!
Mtafute labdaKiukweli sijui nilivyomfungulia geti tukawa na weird convo ila haikuhusisha stori za wapenzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Nalipiza kisasi kama ulivyonikana[emoji124][emoji124][emoji124]
Fuatilia huo uzi upate habari kwa undani zaidiMlianzia love connect ?
Wanaume wakimya hawatabiriki wanaposalitiwa kimapenzi - JamiiForumsalinicheat nikabomoa nyumba(ingawa haikuwa kubwa sana) niliyomjengea na kuuza gari nililompa