Wazee hebu tupeane yaliyojiri katika mahusiano yenu

Sijui hata yuko wapi, niliwahi kuliliwa na yeye nikiwa kwao kwamba simuamini sababu alikuwa akiwasiliana na ex wake nikammaind akatoa chozi na kujazwa sana kuwa mimi ndo mkeo, huniamini sitokusaliti kamwe. Leo hii hata salamu tu haipo
 
Kwani bado unatak salamu yake ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…