Wazee kwa msisi wakubali 1.3ml badala ya 21ml

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
mkandarasi wa barabara hiyo alinungunika sana baada ya lori lake tipper kupotea kupotea kimiujiza [tipper na ukubwa wake wote ule lilipotea na halikujulikana lipo wapi]

 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ uchawi hupo kweli.
 
Hamna sura ya mil 21 hapo waache ungese.
 
Kwamsisi hapo ndio naenda kuweka makazi yangu. Nimependa harakati zao
 
Sasa mchawi wa kweli ni huyo aliyeweza kushusha dau kutoka 21 mpaka milioni 1.
Ila njaa mwanaharamu. Hao wazee wachawi wasingekuwa makapuku wangeweza kukaza na kupata milioni 21. Lakini hapo kuonyeshwa mil. 1 wakilinganisha na njaa zao wakachukua fasta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…