Wazee mmefikiwa hongera Zenu baada ya kuzinduliwa kituo cha upandikizaji Mimba

SweetyCandy

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2022
Posts
3,109
Reaction score
6,323
Ni hivi serikali imeweka IVF ni upandikizaji wa mimba.

Sasa kwa wale wazee walioa vigoli na hamuwezi kumpa mwanadada mimba natural way basi unaweza peleka mbegu zako akawekewe mtoto ulee wajukuu.

Hii ni nzuri kwa wazee ambao walitamani sana kupata nembo zao na humu duniani na humu wapo.

wazee sasa mtakuwa na amani yakuwa na familia maana mlikuwa mnawasi wasi na malizenu.

Soma Pia: Makamu wa Rais Dkt Mpango azindua kituo cha upandikizaji Mimba na Gari la huduma tembezi za Afya
 
Ni yapi madhara ya IVF endapo wanandoa wangetamani watungishiwe mapacha?
How to get twins through IVF?
However, even with one embryo being transferred, there are still chances to become pregnant with identical twins. Some factors that may increase the chance of identical twins after single embryo transfer include using thawed embryos for transfer, using blastocyst embryos, and assisted hatching
 
Afadhari aisee maana mali bila watoto ni kazi
 
Nilidhani, kupata mapacha kwa IVF ingekuwa theoretically simpler.
 
Sema naskia possibility ya kuzaa watoto wasio na ukamikifu huwa ni kubwa sana hasa katika upande wa ubongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…