technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Nipo Moshi kwa mapumziko ya sikukuu aisee wazee wa Moshi wamegoma kabisa kumuunga mkono Mbowe
Nimejaribu kuanzia home kwa majirani na kila mtu ninayepiga naye story anaonyesha kuuzunishwa na Mbowe !!
Hai kipindi kile kumbe Kuna watu kibao walipoteza Mali zao sababu ya chama sasahivi wanachukizwa na mwelekeo wa chama chini yake.
Chama kumbe kimekuwa kikichangiwa pesa nyingi kutoka huku lakini wanadai hakuna kinachifanyika.
Kama huku hali ipo hivi Moto sijui Kanda zingine hali ipoje
Upepo ni mbaya mbaya Sana kwa Mbowe ndio maana hata Lema bado yupo kimya anapima upepo kwanza!!
Lissu kazua balaa uku