technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Wamangi wamedanganywa sana ila hakuna aliedanganywa kama yule Derick Magoma wa Mbulu,Lema alimwingiza chaka haswa aisee.Nipo Moshi kwa mapumziko ya sikukuu aisee wazee wa Moshi wamegoma kabisa kumuunga mkono Mbowe
Nimejaribu kuanzia home kwa majirani na kila mtu ninayepiga naye story anaonyesha kuuzunishwa na Mbowe !!
Hai kipindi kile kumbe Kuna watu kibao walipoteza Mali zao sababu ya chama sasahivi wanachukizwa na mwelekeo wa chama chini yake.
Chama kumbe kimekuwa kikichangiwa pesa nyingi kutoka huku lakini wanadai hakuna kinachifanyika.
Kama huku hali ipo hivi Moto sijui Kanda zingine hali ipoje
Upepo ni mbaya mbaya Sana kwa Mbowe ndio maana hata Lema bado yupo kimya anapima upepo kwanza!!
Lissu kazua balaa uku
Mbowe arudi Malawi 😄Ngoja team yake ikiongozwa na akina Bon Yai, johnthebaptist , chiembe na Lucas Mwashambwa, Yericko Nyerere na Benson Kigaila ije kukushambulia.
Yule ni tapeli tu Hana jipya kuishi mjini kwa kumtegemea mwanaume mwenzio ni ujingaHao akina Boniyai wanaosema Lissu hana experience sasa swali linakuja ni kwanini mlimpitisha agombee urais wa Jamhuri hii?
Hii hoja inawavua nguo.
Mimi mwenyewe Niko Marangu hali ni hiyohiyo Mbowe kachokwa na wameumia kuwasaliti sababu wamejitoa sana na pia wanadai anakosanisha kabila na makabila mengineNipo Moshi kwa mapumziko ya sikukuu aisee wazee wa Moshi wamegoma kabisa kumuunga mkono Mbowe