Wazee Mtwara wataka katiba mpya impe madaraka zaidi Rais

Wazee Mtwara wataka katiba mpya impe madaraka zaidi Rais

ugali

Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
24
Reaction score
2
Wazee hao wanadhani Raisi hasikilizwi an watendaji wake
 
Labda wameambiwa rais ajaye atatoka Ntwala,wanategemea kubebwa
 
Ulitegemea nini kutoka kwa wazee wa MTWARA zaidi hayo mimi sijawa surprise tena wamejitahidi kweli.
 
hah hah hah!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Wazee waliokataa shule kipindi cha ujana wao, sasa lazima mawazo yao yawe ya kikomo hicho. Amani kwao wazee wa ntwara/mtwara.
 
Usiwabeze wenzako.Nasi tulitegemea jibu kama hilo kutoka kwako!
 
Mtwara sehemu gani wamesema hivyo?,maana Mtwara kubwa sana.
 
Maana mie nilikuwepo pale Shule ya Chikongora ,watu karibu wote ukijumuhisha na wazee walitaka Rais apunguziwe Madaraka,Tafadhari unapotoa taarifa kama hii utaje eneo na siku ili tuende sambamba ,
 
Sasa apewe madaraka gani tena zaidi ya haya yanayomshinda? Mtu kama hakusikilizi atakusikiliza kwa madaraka zaidi?

awe dikiteta. Hayo ndio madaraka zaidi kama hujawaelewa. Rais akiwa dikiteta na Mungu akamjalia udikiteta wake ukawa positive nchi itaenda poa kabisa
 
Maana mie nilikuwepo pale Shule ya Chikongora ,watu karibu wote ukijumuhisha na wazee walitaka Rais apunguziwe Madaraka,Tafadhari unapotoa taarifa kama hii utaje eneo na siku ili tuende sambamba ,

Kamamnda
hata mimi nimesoma ni gazeti la mwananchi nimekasilika sana
 
Hawa Wazee wa Mtwara hata huko upstairs kutakuwa kumezeeka pia.

Kumbe bado kuna watanzania wanaishi STONE AGE!
 
Back
Top Bottom