Wazee ni Hazina tuwe na Heshima

Wazee ni Hazina tuwe na Heshima

Wakolosai 3 :21 inasema;

Wazazi msiwachokoze watoto.wenu.

Sasa hawa wazee wasiojiheshimu tutawakosea heshima pia wajisahihishe.

Screenshot_20221209-085459.png
 
Tuendelee kuwa na Heshima wazee Ni Hazina .


Hazina gani wanapoanza kupendelea na kushangilia rushwa na matumizi mabaya ya mali za umma? Hazina gani wanapokosa busara ya kujua cheo ni dhamana na watanzania wote wana fursa sawa ndani ya nchi yao?

Yale maneno ya mzee wako, ni maneno ya kihuni. Polepole alisema ukweli after all.
 
Tuendelee kuwa na Heshima wazee Ni Hazina .
Haya madhira yote wameyaleta wao. Ukiona tunasuasua, ni sababu ya kukosa watu wenye visions. Endelea wewe kuwaheshimu. Heshima kitu cha bure. Kinakuja kama na wewe unajiheshimu.
Muhuni ni muhuni tu. Period
 
Back
Top Bottom