God Fearing Person
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 767
- 2,570
Tuendelee kuwa na Heshima wazee Ni Hazina .
Nameanza kufikiri kuwa heshima na busara huzeeka na mtu!Tuendelee kuwa na Heshima wazee Ni Hazina .
Haya madhira yote wameyaleta wao. Ukiona tunasuasua, ni sababu ya kukosa watu wenye visions. Endelea wewe kuwaheshimu. Heshima kitu cha bure. Kinakuja kama na wewe unajiheshimu.Tuendelee kuwa na Heshima wazee Ni Hazina .
Ni kwa kuheshimu ndio tunaheshimiwaTuendelee kuwa na Heshima wazee Ni Hazina .