Wazee wa Arduino tupeane changamoto hapa

Wazee wa Arduino tupeane changamoto hapa

UNATUMIA ARDUINO?

  • a. NDIYO

    Votes: 2 22.2%
  • b. HAPANA

    Votes: 0 0.0%
  • c. NINGEPENDA KUTUMIA, TATIZO NI GHALI MNO.

    Votes: 0 0.0%
  • d. NINGEPENDA KUTUMIA, SHIDA NI UPATIKANAJI WAKE, ADIMU MNO.

    Votes: 3 33.3%
  • e. SIJUI CHOCHOTE KUHUSU ARDUINO.

    Votes: 4 44.4%

  • Total voters
    9
  • Poll closed .

Syston

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2017
Posts
243
Reaction score
351
Mie changamoto yangu ni namna ya kupata ARDUINO original nyingi nakutana nazo ni clone tu wazee.
 
Tafadhali, piga kura yao hapa kusaidia kuboresha upatikanaji wa Arduino Tanzania.
 
Nani amezitaka akakosa? anayetaka anitafute mimi nimpatie kwa bei nafuu.
 
Tofauti ya clones na Original ni ndogo sana in real life, makosa kama wrong pin marking kwenye 1 ipo 0 na kwenye 0 ipo 1 ingawa zinafanya kazi.
Kingine unapaswa kujua bei ya arduino OG kuwa ghali haimaanishi ni hardware pekee hapo wanajumuisha pia pesa ya kuwalipa developers ambao mara kwa mara watafanya kazi ya kutengeneza libraries, web editors na hardware cores kwa manufaa ya watumiaji wote wa arduino.
Kwa upande wa clones hawana mchango wowote zaidi ya wao kunufaika zaidi ndio maana boards zao ni cheap.
 
OG ni from Italy. ingia hapa


japo sioni tofauti kuubwa kati ya OG na clone, nna bunch of projects na zote zinatumia clones ( Uno, Mega, Nano) na zipo on field mwaka wa 7 sasa
 
Mie changamoto yangu ni namna ya kupata ARDUINO original nyingi nakutana nazo ni clone tu wazee.
Kuna store ipo mwanza inadeal na computers,parts,accessories,electronic n.k wanazo izo arduino size tofauti,rasperberry pi pamoja na micro controller tofauti wanamsaada mkubwa pia upande wa software wanachuo wengi project zao wanamalizia pale
 
Back
Top Bottom