Wazee wa Aviator au kindege cha pesa

Manina Sana.... Kimenila 150k ndani ya dk 15.. nikatembea kwa mguu kutoka USA mpk Moshi...
Unastake kimhemko mkuu just stake 10000 odds 2 utanishukuru ujiona blue zimekuwa nyingi kaa pembeni suburi soko liwe fresh zen back. Kwenye aviator ukipanic tu ushapoteza pesa tulia [emoji1][emoji1]
 
Inatokeaaga na mimi naamini ilo kwamba inawezekana ulipiga ml5 kwasababu Kila kitu ni connection mana Kuna watu wana AVIATOR BOT ana predict matokeoo sahih na aki loose malamojamoja saana na pia Mimi nikipata apk ila nilikosa code nahangaikia kuicrack nikifakiwa 2 naamini na mimi umaskinin byebye
 
Kuwin aviator ni rahisi kama utazingatia signal mkuu, ila kama una stake stake hovyo ni rahisi kulost pesa zako zote just for 5minutes only , ukiwa unacheza kwa signal na sio kila round mzee utapiga ela [emoji16][emoji16]
Signal gani hizo mkuu embu tuambie maana makofi ni mengi mnooo
 
Kuna watu wana aviator bot kumbe mkuu ?!
 
2/3, 9/10 maana yake nini
 
Hivi aviator inachezwaje?
Ni rahisi tu, ila uwe na tyming ya kucheza , usiwe na tamaa, usiwe mwoga, japo muda mwingine Kuna ujanjaujanja, unaweza ukatolewa bila idhini Yako wakijifanya umechelewa kuingia kwenye mchezo, au wakazima mtandao, wanajifanya mtandao uko slow, ila ni akili, usiwe na tamaa au uwoga, jifunze Kila siku japo hakuna mbinu maalumu,
 
Nimewahi kujaribu karibu mizunguko 30 au zaidi hata sh. Mia sijaambulia.
Yaani sielewi
 
Nimewahi kujaribu karibu mizunguko 30 au zaidi hata sh. Mia sijaambulia.
Yaani sielewi
Huenda wewe unataka odds kubwa, Ile ya kuanzia Kumi na kuendelea, odds bet 2, cheza hapo usistake Hela kubwa, kidogo mpaka unamaater mchezo ndy unaanza kustake Hela kubwa, halafu angalia aina za rangi, 2.00 odds Iko kwe rangi ya dhambarau, target rangi ya dhambarau
 
Asante. Tajaribu leo usiku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…