Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 7,918
- 20,037
Wakuu habari zenu?
Baada ya kuona mambo magumu round ya kwanza wameamua kuja na bahasha maana mashabiki wake wanapiga kelele sana yaani timu kufungwa mechi mbili tu na bado inaongoza ligi wanataka kumtoa roho raisi wa timu eti anaihujumu timu?
Sasa wameamua kutoa bahasha kwa timu pinzani ili kuwafurahisha Mashabiki.
Ndio maana kocha wao alisema timu azimpi ushindani wakumsaidia yeye kimataifa maana ni mwendo wa 4,5,6 tu kabla ya hapo ilikuwa mwendo wa moja bila kwa mbinde na hiyo ndio ilikuwa uhalisia wa ligi wachezaji wanataka waonekane wanakaza sasa mashabiki wanabweka wanaona wao ndio wanacheza peke yao uwanjani.
Kuna ile ya unbeaten mechi 49, mechi ya 50 anaenda kucheza na timu inayoshika nafasi ya mwisho kwenye ligi lakini akafungwa.lakini sasa hivi hakuna huo ushindani wanapewa tu mzigo wanapigwa 6 bila halafu wanaambiwa hawa wanashuka daraja wabovu,
Hahahah.kiuhalisia wanaoshuka daraja ndio wagumu kufungika.
Kwenye ligi yoyote ile duniani round 2 ndio inakuwa ngumu sana timu zisizo fungwa kwenye round ya kwanza ,round ya 2 lazima zipoteze tu points na points zitakazo kusanywa round 2 zinakuwa chache kuliganisha na round ya kwanza Kwenye ligi.
wazee wa bahasha round ya kwanza kwa ushindi ule wa moja bila licha ya kufanya usajiri round ya pili walikuwa wanaacha points nyingi sana wameamua kuweka mzigo mezani ili kuwafurahisha mashabiki maana walikuwa wanalalamika sana na kubweka sana.
Kwenye mpira ndio maana hata watu wakaweka makampuni ya kubet huwezi kushinda wewe kila siku goli 4,5,6 halafu ni round ya 2,
Mechi ya hapa juzi timu pinzani wameamua kuweka kikosi cha pili wachezaji wa kikosi cha kwanza wamepumzishwa mpaka unashangaa hii ligi vipi? Ili tu wazee wa bahasha washinde tu mashabiki wafurahi.
Wazee wa bahasha mnajidanganya wenyewe tu mwakani tena mtaishia kutoka makundi na points 8 tu, maana points 9 hamuwezi kifikisha, na kama kawaida kwenye mtoano kuingia kwenye makundi mnapewa timu ambazo hazina viwanja mechi zote mnachezea nyumbani mnajifariji mnatimu ,mbele ya safari hamfiki kokote.
Kuna hii ya juzi kwenye uwanja mpya mliohamia hiyo timu ndio uwanja wake wa nyumbani mechi ya kwanza mliifunga 1 bila round ya 2 mkamfunga 6 .bila ya timu yenu kuwa na kocha.
Kuna nyingine mliwafunga 3-2 round 1, round ya pili mkamfunga 5 bila nyumbani kwake hakunaga ligi Kuu ya namna hiyo duniani.
Kuna timu ambazo hawawezi kutoa bahasha ilikuwa hivi round ya kwanza walishinda 2 bila kwa Mbinde na timu pinzani walikuwa pungufu ,round ya pili wakaenda 0-0.
Msimu huu ligi ilivyokuwa inaanza round ya kwanza timu zilipania sana timu zetu kubwa kuakikisha wanazizibiti haswa.
Round ya pili ni hao tu wazee wa bahasha ndio wanashinda wanavyotaka.hata bila kocha ni mwendo wa 6 tu.
Ni hayo tu wakuu.