Wazee wa baraza wasema 'Lulu' ameua bila kukusudia, Jaji kutoa hukumu Novemba 13

NdioMaana hapo juu nimesema Lay Assessors ni kama Debe tupu, mawazo yao ni ya ki_layman, hayawezi kuwa binding kwa Courts of records.
 
Fact na uungwana haviendani
Wanaoongeaga fact hufanani nao ata robo..huna ata hadhi ya kuwa na Lulu wewe. So acha kujipa sifa za kijinga. Watu wa aina yako type yako kina kajamba nani...em pita kule[emoji35]
 
Wanaoongeaga fact hufanani nao ata robo..huna ata hadhi ya kuwa na Lulu wewe. So acha kujipa sifa za kijinga. Watu wa aina yako type yako kina kajamba nani...em pita kule[emoji35]
Hivi kipimo cha hadhi siku hizi ni kutembea na Lulu.Kutembea na lulu wengine ni fedheha sio hadhi
Arafu unaonekana kama malaya uliyekosa soko kutokana na jpm kubana mafisadi
 
pole sana elizabeth michael 'lulu'
hukutegemea kama haya yote yangekutokea na sio wote wanaoenda jela ni wenye hatia.

me na imani ukweli hautojificha,japo sheria inachukua nafasi yake na kutoa maamuzi,lakini you will be free.

am still praying for you.
 
Imekuwaje wewe mzaramo? Mbona unanijia juu we asha ngedere
Kumbe tunajuana wazaramo..venye unajijua ulivo kangedere kazur..[emoji3] [emoji3]
.em tuanzie apa kwanza..we wa kike au wa kiume?!
 
Unafiki mtupu!! Unatafuta like tu hapa.Eti unamuombea.
 
Hivi kipimo cha hadhi siku hizi ni kutembea na Lulu.Kutembea na lulu wengine ni fedheha sio hadhi
Arafu unaonekana kama malaya uliyekosa soko kutokana na jpm kubana mafisadi
Wee ndo utakua malaya uliyechuja mbele na nyuma.
Fala wee. Umezoea kutiwa ndo upate ela eee ...jitie mwenyewe mshezi wewe.. kwanza uandishi wako unaonesha how low yur..bastad plus plus. Uje nikukune basi nikupe angalao family.
Ms....
 
Kuua bila kukusudia mara nyingi ni kfungo cha MIAKA 3
 
Pia kwa jaji mwenye "akili" anaweza kutumia fursa hii kutoa fundisho kwa jamii, kila mtu karibu anamjua lulu, hivyo akipewa adhabu kali hadi watoto watajua kuwa wakifanya hiki basi hiki chaweza tokea.
Iko mikononi mwa jaji sasa hii.

Fundisho gani mkuu
 
Ripoti ya daktari ipo.
 
Duuuh kushindwa kesi na mtu aliye mfu!!!! Kweli sheria sio kitu ya muchezo muchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…