Wazee wa Basketball nina swali

Wazee wa Basketball nina swali

MUTUYAMUNGU

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
1,825
Reaction score
4,374
Nauliza ile mechi ya Ukonga Kings na JKT nani alishinda. Nilianga quarters 2 tu ya 1 ikawa 22 kwa 22 na ya pili ikawa 48 kwa 48!
 
Ally Mbegu wa Ukonga NI moto wa kuotea mbali pamoja na Baraka wa JKT japo mwili na urefu NI changamoto
 
Mkuu unamjua vzur baraka…

Mwili na urefu haujawah kua changamoto kwake

Niliishia qtr 1
 
Mkuu,, game zimefikia kwenye final series na game 1 itachezwa jumatano saa mbili kamili usiku.

Final ni PAZI vs KINGS.
 
Ally Mbegu wa Ukonga NI moto wa kuotea mbali pamoja na Baraka wa JKT japo mwili na urefu NI changamoto
Huyu Ally mbegu kachezaga Sana pale pallot Arusha ana ndugu yake anaitwa hajji mbegu ..wako Moto saana Hawa machalii, bakee fore life😎😎
 
Back
Top Bottom