Wazee wa Bollywood movie

Wazee wa Bollywood movie

Dcxkobe

Member
Joined
Mar 5, 2023
Posts
57
Reaction score
136
Wangap mnaikubuka hii movie dilwale dulhia lejeynge binafsi sijaona mpaka leo movie Bora ya love story kama iyo hasa ma song yake alafu kulikua na ka Alam.

Fulan hv sharukhan alikua anapenda kupiga kwa kale ka gita kake kanatoa sauti Kama ya kengele fulan hv ebhana full burudani na zile location zake Sasa za ucku wakiwa wanaongea sharukan na Kajol.

Kule kwenye ma bustani ndio usiseme aise aise hii ndio movie ilifanya nianze kuzipenda love story dilwale dulhia lejeynge Kama na ww Kuna kitu kilikuvutia unaweza funguka tu
 
Hiyo movie ni All time Classic, One of the Best Romantic film Ever
 
Back
Top Bottom