Wazee wa Bukoba mkoani Kagera wamewataka vijana nchini kuilinda amani ya Tanzania na kuepuka kushawishiwa kuingia katika vitendo vya uvunjifu wa amani, hususan katika kipindi hiki cha uchaguzi.
Wazee hao wamesema hawatamani tena kushuhudia machafuko au vurugu nchini, wakieleza kuwa wao kama wakazi wa Kagera ni mashuhuda wa athari kubwa zinazotokea pale amani inapopotea.
Waambieni kuwa AMANI ni zao la HAKI, bila kuwepo na HAKI waendelee tu kuilazimisha AMANI kwa mitutu ya bunduki ambayo literally si AMANI bali it's inflicting FEAR. Nchi imetulizwa kwa raia KUOGOPESHWA.
Chawa wanahaha sana mwaka huu.