Aende kwao Burundi atuachie nchi yetu salamawazee wa kichaga hao hawamtish mtu
Unaona anavyomwita kwa heshima Mh. Rais Magufuli. Halafu anaonekana hana taarifa kabisa eti bajeti ya ununuzi wa ndege haukupitishwa na bunge. Mwambie akasome Fungu la 2006 tangu mwaka wa fedha wa 2016/2017 ataona bajeti ipo ilijadiriwa na bunge!Wazee wamekubaliana kuwa yale mazoea ya CCM kupeana miaka kumi kumi mwaka huu basi. CCM Mpya ikubaliane na matakwa ya wananchi Tanzania nzima, kuwa awamu hii ya CCM Mpya miaka yao mitano inatosha na wafunge virago vyao waondoke.
Mtanyooka tu nyinyi. Nilifikiri mnategemea watz kumbe wakina Robert Amsterdam?!Tayari Jumuiya ya Kimataifa inatilia mashaka hali ya kisiasa na demokrasia nchini Tanzania kama ilivyo pia shaka ya wazee wetu hawa juu ya muenendo na matendo halisi ya serikali ya Magufuli kusimamia kauli za matamko yake ya kulinda uhuru na haki.
30 September 2020
WAZEE WA CHAMA CHA CHADEMA WATOA ONYO KALI KWA SERIKALI YA MAGUFULI NA JESHI
Huu wa Uchaguzi Mkuu 2020 vyama vimeamua kusimama kidete na kusema basi dhidi ya chama-dola cha CCM Mpya kinachotumia Tume ya Uchaguzi, Wasimamizi wa Uchaguzi na vyombo vingine vya dola kujaribu kuviburuza.
Wazee hawa wamuasa Magufuli kuwa bado ana muda wa kutosha kurekebisha upotovu wa serikali yake, Tume aliyoiteua na vyombo vya usalama ili kurejesha imani ya waTanzania na Jumuiya ya Kimataifa kuwa mchakato mzima wa Uchaguzi Mkuu 2020 utakuwa Huru na wa Haki.