Mipaka ya 1947 alichora nani!?Sasa palestina hata hawana mipaka mnalazimisha iwe taifa kwenye ardhi ya wayahudi huku mkitumia vifo vya wanawake na watoto kutafuta huruma ya dunia
Mkuu Marekani kila sekunde mchana na gizani anapanbana abaki kama alivyoKwani ugiriki leo ipo wapi?
Hata Roman Empire,Byzantine,Ottoman Empire n.k n.k zilikua zikipambana usiku na mchana zisianguke na zikaanguka.Mkuu Marekani kila sekunde mchana na gizani anapanbana abaki kama alivyo
Us ni muunganiko wa nchi 50 ni ngumu mno kuanguka pia ina mtaji wa watu smart kutokea pande zote za dunia .I can't wait kushuhudua anguko la USA siku moja na kuwa nchi ya kawaida sana kama malawi
Hiyo mipaka haitambuliki tena, Kuna taifa la Israel, hawa Wapalestina wakae watafute bicon zao kwanza. Sasa Tangu 1947 walikuwa wapi? Waambieni watafute bicon za kiwanja chao kisha walete tukiridhika tuta kubali.Mipaka inatambulika na Ramani inayotakiwa kutumika ni ya 1947 labda kama wewe hujui hilo.