Wazee wa DRAFTI kete tatu mpya ndio zikoje? Maana nazisikia tu, kama unazijua hebu tupia pattern yake hapa

Wazee wa DRAFTI kete tatu mpya ndio zikoje? Maana nazisikia tu, kama unazijua hebu tupia pattern yake hapa

bafetimbi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2018
Posts
1,085
Reaction score
1,741
Wanadrafi wenzangu ni kwa muda kidogo nazisikia hizi wanasema ooooh kuna kete tatu mpya, hivi zinategwa vipi? Tupeane hizo pattern kama unazijua. Ahsante
 
Anaeweza kurekodi hata kavideo atuelekeze mazee
 
Ni patttern kama ile ile sema imebadiliahwa kidogo unatega afu unamuachia major mpinzani na haigusi

Siyo kweli, sema kete moja inashika major ndogo na major kubwa tofauti na ile nyingine ambayo kete ya major haigusi hizi line za major ndogo.
 
Back
Top Bottom