Wazee wa Etihad, nini kifanyike kesho tutoboe UEFA?

Namshauri apaki basi tuu, wakijifanya kihelehele cha kushambulia wallah yule Mufti wa Misri Ustadh Sarah atawatoboa tena kule nyuma.
 
Angekuwa na messi ningemshauri ila kwa kuwa hata mo sarah si wa upande wake.. pole yake ajaribu mwaka ujao
 
Mpira hautabiriki,kuna mwaka flan sikumbuki vizuri Ila Chelsea alicheza na PSG kule ufaransa na chelsea alishinda goli 3-1 Ila cha ajabu PSG walipokwenda England walirudisha goli zote Na wakapita kwenda semi- final......so kwa city pia msishangae akapita Na kumbukeni kwamba city nayo imejaa mafundi.
 
l'pool hawezi shinda mzee
 
Siku ile angepata goli moja tuu..angepita..kitendo cha kutopata goli moja la ugenini itamkost sana
 
Yaani kitendo cha kupigwa 3 bila ni kosa kubwa sana. Cha msingi akafunguke acheze mpira haswaaa maana hana sababu ya kujilinda.

Kwenye mpira yote yanawezekana na kuhakikisha hilo PSG analijua hilo
Kwa Salah akifunguka kinyumbu atalokota kunyavu hadi aibu!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…