Wazee wa fix ni noma

Mzee mkubwa huko nchini amewapiga fix wafanyakazi yaani. Amewalainisha wakalainika sasa hivi wamebaki wamejipanga foleni kwa mange awapostie shida zao . Poor you workers hope 2020 you will stands for light instead of darkness.
 
ukinkuta kwenye 18 zangu nabembeleza mtoto mzuri huwezi amini,yaani maneno yanajipangilia yenyewe automatikale mpaka mwenyewe najishangaa,maneno lainiiii kama siagi na matamu kama jibini,yananivutia mpaka mie nayeyazungumza.na mungu kanijaalia Uso wenye ushawishi na huruma.

Nakumbuka mwaka fulani nilikwama airport Singapore alafu visa on entry.ilikuwa either nikubaliwe kuingia ama wanideport na ndege inayofuatiax ya kurudi africa,bas nkapelekwa chumba cha mahojiano mfukoni nina dalari 200 tu na kadi ya ATM pamoja na pasport,na wenyewe wanataka walau uwe na 'show money' kuanzia dola alfu tatu na kuendelea,walichojitusu wakanletea afisa uhamiaji mdada wa makamo,ebana fix nlizompiga hapo tena kwa kiingereza fasaha bila kukwama,ilhali mimi sio mpenzi wa kuzungumza hyo lugha,ndani ya dakika 15 yule dada akasahau kuwa yeye ni interogator,tukawa tunapiga story za kawaida kabisa kuhusu muziki na hali ya kisiasa mashariki ya kati,nkamwaminisha kuwa nina mke mtoto mmoja na mwengine yuko tumboni kwa wife coming soon,nkamwonyesha na pete ya ndoa ilhali sina mke wala mtoto,nikamwaminisha akaunti yangu ina zaidi ya dola 20,000 ilhali kuna robo tu ya hyo pesa ,nkapewa viza yangu ya siku 30 nkachapa lapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…