Eden c mbegu ya nyanyaKilimo cha matikiti hustawi sana wakati wa kiangazi ukanda wa kaskazini Kilimanjaro na tanga huhitaji maji ya kunyesha kwa kisima hustawi zaidi mbegu unanunua gram 100 zinatosha kwa heka inategemea na mbegu nazujua mm zinauzwa 175,000 ni Edeni f1 unatoa tani za kutosha maana kama umekodisha hadi kuvuna unaweza tumia mil 1 hvi
Hiyo ni kampuni kubwa inazo tikiti na NyanyaEden c mbegu ya nyanya