Elections 2010 Wazee wa kazi

Jirani are you serious kuwa umeanza kupata matumaini? Matumaini gani...kwamba CHADEMA wanaweza kushinda uraisi? Kama ni hivyo basi naona utakuwa na matumaini matupu....
 
Wengi wanaojitokeza kuishangilia na kuisapoti CCM ni wanafiki na wana maslahi binafsi. Hili liko wazi na dhahiri kabisa, utawaona tu jinsi wanavyojipendekeza kwa kikwete, hata wakati mwingine kuimba sifa za kijinga juu ya jamaa huyu.

Wenye nia madhubuti na thabiti juu ya hatima ya Taifa hili ni wapinzani pekee, ni wale waoga na waliodhaifu kimsimamo na kifikra tu ndio wanaendelea kuisapoti CCM wakati huu.
 
Hiyo hapo chini nilisahau kwenda duh!! Pilau ilikuwepo?
 
Haya si yale ya Mrema...?

Mrema ndio nani tena eti...? Kale kazee kalichotumwa kudanganya Watanzania.........angalia kanavyoteseka sasa kwa laana ya Mungu na Watanzania. Historia ishamhukumu kuwa alikuwa ni mnafiki na kibaraka katika kuwasaliti Watanzania!
 
Haya si yale ya Mrema...?
Napenda hii slogan CCM waendelee nayo wakidhani nothing has been changed since then. Remind you it is 15 years now has passed, new voters new strategies, new faces, waliokuwa na miaka mitano kwa wakati huo leo ni wapiga kura halali it is a new generation ambayo haijaathiriwa sana na utawala wa chama kimoja kama ilivyokuwa 1995. Kwahiyo tukitoa tathimini tuwe tunakuja na maelezo ya ku support tunachokisema.
 

Wengine wamelelewa na ufisadi wa CCM. Kuikana CCM ni kama kumkana mama yake. Wasame kwani wakijua wataacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…